Saturday, October 13, 2012
CRISTIANO RONALDO AENDELEA KUVUNJA REKODI KWENYE LA LIGA
Winga wa Klabu ya Real Madrdi Cristiano Ronaldo ameendelea kuvunja rekodi katika ligi kuu ya Spain baada ya sasa kuwa ndio mchezaji aliyefunga mabao mengi katika nusu ya msimu kuliko mchezaji yeyote katika historia ya ligi hiyo.
Ronaldo alishinda tuzo ya Pichichi msimu uliopita baada ya kufunga mabao 41, na mwaka huu msimu ukiwa upo katikati mreno huyo tayari ameshatupia kambani mabao 23, na kuivunja rekodi aliyoiweka mwenyewe msimu uliopita ya mabao 22 pamoja na ile mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Cesar ambaye nae alifunga mabao 22 katika nusu ya kwanaza ya msimu wa 1950/51.
LA LIGA ALL-TIME TOP SCORER IN 1ST LEG.
ALL-TIME TOP SCORERS IN FIRST LEG OF LA LIGA
Season Player Team Goals
2011/12 Cristiano Ronaldo Real Madrid 23
1950/51 Cesar Barcelona 22
2010/11 Cristiano Ronaldo Real Madrid 22
1989/90 Hugo Sanchez Real Madrid 20
1999/00 Salva Racing 20
1943/44 Echevarria Real Oviedo 19
1943/44 M. Martin Barcelona 19
1934/35 Langara Real Oviedo 18
1978/79 Krankl Barcelona 18
2005/06 Eto'o Barcelona 18
2008/09 Eto'o Barcelona 18
1986/87 Hugo Sanchez Real Madrid 18
Kwa namba hizi ya magoli Ronaldo angeweza kuwa mfungaji bora wa La Liga kwa mara 26, kwa sababu washindi wa pichichi wa muda huo hakuwahi hata kufikisha idadi hii ya mabao aliyonayo Ronaldo sasa tena akiwa leg ya kwanza ya msimu.
EDITIONS OF LA LIGA IN WHICH RONALDO WOULD HAVE WON THE PICHICHI TROPHY WITH THESE NUMBERS
Season Player Team Total goals
1928/29 Bienzobas Real Sociedad 14
1929/30 Gorostiza Athletic 19
1931/32 Gorostiza Athletic 12
1932/33 Olivares Real Madrid 16
1944/45 Zarra Athletic 19
1947/48 Pahiño Celta 23
1957/58 Di Stefano Real Madrid 19
Badenes Valladolid 19
Ricardo Alos Valencia 19
1958/59 Di Stefano Real Madrid 23
1963/64 Puskas Real Madrid 20
1965/66 Vava Elche 19
1967/68 Uruiarte Athletic 22
1968/69 Amancio Real Madrid 14
Garate At. Madrid 14
1969/70 Amancio Real Madrid 16
Garate At. Madrid 16
Aragones At. Madrid 16
1970/71 Garate At. Madrid 17
Rexach Barcelona 17
1971/72 Enrique Porta Granada 20
1972/73 Marianin Real Oviedo 19
1973/74 Quini Sporting 20
1974/75 Ruiz Herrero Athletic 19
1975/76 Quini Sporting 18
1980/81 Quini Barcelona 20
1982/83 Poli Rincon Betis 20
1983/84 Juanito Real Madrid 17
Da Silva Valladolid 17
1984/85 Hugo Sanchez At. Madrid 19
1985/86 Hugo Sanchez At. Madrid 22
1990/91 Butragueño Real Madrid 19
200/01 Tristan Deportivo 21
at 8:15 AM 0 comments Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment