HAPA HABARI , MICHEZO NA BURUDANI
Thursday, April 19, 2012
HAPA NDIO HEINEKEN CHAMPIONS PLANET NILIPOCHEK MECHI JANA USIKU!
Hii ni nyumba ya HEINEKEN maarufu kama Heineken Champions Planet ambayo ni watu wachache sana wanaifahamu, mpaka kuingia ni lazima uwe na mwaliko maalum... mimi nimepewa nafasi ya kuingia na washkaji zangu watano, so kama umevutiwa kunijoin kwenda kuchek mechi ya CHELSEA leo, nitumie kwenye facebook au twitter picha yako ukiwa umevaa jezi ya timu yoyote unayoipenda Ulaya alafu nitakustua twende zetu, usafiri upo na wewe utachukuliwa kutoka home na kurudishwa pia
Wakati wa kucheki mechi
Jilani na eneo la park
Huu ndio usafiri utakaotumika kukuchukua na kukurudisha ulipotoka.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment