Tuesday, October 16, 2012

WACHEZAJI 10 GHARAMA KUSALIWA hawandio wanaongoza kwa kuvunja rekodi ya usajili

1. Cristiano Ronaldo (£80 million) - Manchester United to Real Madrid in 2009 Cristiano Ronaldo’s £80 million alipotokea Manchester United kuelekea Real Madrid. katika mwaka 2009 mchezaji huyu raia wa ureno alivunja record ya dunia pale alipotaka old trafford na kwenda maskani mpya ya bernabeu. Cristiano Ronaldo ambaye ni mmoja kati ya mawinga hali duniani alishawai kutwaa mchezaji bora wa FIFA mwaka 2008 ndipo mwaka uliofuata akaamia Real Mandrid.
2. Zlatan Ibrahimovic (£56.5 million) - Inter Milan to Barcelona in 2009 kocha Josep Guardiola wa Barcelona alikosea kwa uwamuzi wake pale alipomsajili Ibrahimovic na kuamua kumuuza Samwel Etoo.Ibrahimovic ambaye ni raia wa Sweden hankuweza kufanya vizuri pale Barcelona kwani alipata ushindani kwa washamburiaji kama Messi,Henry na Gudjohdson na kujikuta akiwa chaguo la pili Guardiola mpaka pale alipo hama Barcelona na kwenda AC Milan

Saturday, October 13, 2012

CRISTIANO RONALDO AENDELEA KUVUNJA REKODI KWENYE LA LIGA

Winga wa Klabu ya Real Madrdi Cristiano Ronaldo ameendelea kuvunja rekodi katika ligi kuu ya Spain baada ya sasa kuwa ndio mchezaji aliyefunga mabao mengi katika nusu ya msimu kuliko mchezaji yeyote katika historia ya ligi hiyo. Ronaldo alishinda tuzo ya Pichichi msimu uliopita baada ya kufunga mabao 41, na mwaka huu msimu ukiwa upo katikati mreno huyo tayari ameshatupia kambani mabao 23, na kuivunja rekodi aliyoiweka mwenyewe msimu uliopita ya mabao 22 pamoja na ile mshambuliaji wa zamani wa Barcelona Cesar ambaye nae alifunga mabao 22 katika nusu ya kwanaza ya msimu wa 1950/51. LA LIGA ALL-TIME TOP SCORER IN 1ST LEG. ALL-TIME TOP SCORERS IN FIRST LEG OF LA LIGA Season Player Team Goals 2011/12 Cristiano Ronaldo Real Madrid 23 1950/51 Cesar Barcelona 22 2010/11 Cristiano Ronaldo Real Madrid 22 1989/90 Hugo Sanchez Real Madrid 20 1999/00 Salva Racing 20 1943/44 Echevarria Real Oviedo 19 1943/44 M. Martin Barcelona 19 1934/35 Langara Real Oviedo 18 1978/79 Krankl Barcelona 18 2005/06 Eto'o Barcelona 18 2008/09 Eto'o Barcelona 18 1986/87 Hugo Sanchez Real Madrid 18 Kwa namba hizi ya magoli Ronaldo angeweza kuwa mfungaji bora wa La Liga kwa mara 26, kwa sababu washindi wa pichichi wa muda huo hakuwahi hata kufikisha idadi hii ya mabao aliyonayo Ronaldo sasa tena akiwa leg ya kwanza ya msimu. EDITIONS OF LA LIGA IN WHICH RONALDO WOULD HAVE WON THE PICHICHI TROPHY WITH THESE NUMBERS Season Player Team Total goals 1928/29 Bienzobas Real Sociedad 14 1929/30 Gorostiza Athletic 19 1931/32 Gorostiza Athletic 12 1932/33 Olivares Real Madrid 16 1944/45 Zarra Athletic 19 1947/48 Pahiño Celta 23 1957/58 Di Stefano Real Madrid 19 Badenes Valladolid 19 Ricardo Alos Valencia 19 1958/59 Di Stefano Real Madrid 23 1963/64 Puskas Real Madrid 20 1965/66 Vava Elche 19 1967/68 Uruiarte Athletic 22 1968/69 Amancio Real Madrid 14 Garate At. Madrid 14 1969/70 Amancio Real Madrid 16 Garate At. Madrid 16 Aragones At. Madrid 16 1970/71 Garate At. Madrid 17 Rexach Barcelona 17 1971/72 Enrique Porta Granada 20 1972/73 Marianin Real Oviedo 19 1973/74 Quini Sporting 20 1974/75 Ruiz Herrero Athletic 19 1975/76 Quini Sporting 18 1980/81 Quini Barcelona 20 1982/83 Poli Rincon Betis 20 1983/84 Juanito Real Madrid 17 Da Silva Valladolid 17 1984/85 Hugo Sanchez At. Madrid 19 1985/86 Hugo Sanchez At. Madrid 22 1990/91 Butragueño Real Madrid 19 200/01 Tristan Deportivo 21 at 8:15 AM 0 comments Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook